Thursday, December 19, 2024

Muziki Umejaa Maagano ya Kishetani" - Vanessa Mdee Afunguka

Muziki Umejaa Maagano ya Kishetani" - Vanessa Mdee Afunguka

 


Vanessa Mdee, msanii wa zamani wa Bongo Fleva, amefunguka kuhusu changamoto za sekta ya muziki katika mahojiano ya hivi karibuni. Vanessa, ambaye sasa ameacha muziki na kujikita zaidi kwenye familia na maisha ya kiroho, alisema:

"Muziki umejaa maagano ya kishetani."


Kauli hii imezua mijadala mingi mitandaoni, huku watu wakijadili hali halisi ya sekta ya muziki na changamoto zinazowakumba wasanii. Vanessa Mdee amekuwa mstari wa mbele kuelezea jinsi alivyoamua kuachana na muziki ili kutafuta amani ya kiroho na maisha yenye utulivu zaidi.


Je, unadhani sekta ya muziki ina changamoto nyingi za maadili? Tupia maoni yako hapa!


Kwa habari zaidi za burudani, tembelea 👉 

Facebook Page

0 Comments: